Tuesday, July 2, 2013

POT HOLDER

MALI MPYA....IMETENGENEZWA NA HOMEZ DECO.....


Tunapenda kuwafahamisha wadau wetu na wateja wetu wote, kua Homez Deco sasa tunatengeneza bidhaa zetu wenyewe, na zina lebo zetu wenyewe.



Hizi ni glove na pot holder.....ni za jikoni, ukiwa unataka kuepulia sufuria, ama chochote jikoni basi unavaa hii glove moja ama mbili, na utakapoweka mezani, unaweka kwanza hiyo pot holder ili meza isiharibike....



Products hizi ni kwa seti moja ni tshs. 7,000/- ikiwa ni glove moja na pot holder moja.



Kwa mbele zinavyoonekana




Kwa wale wa mikoani, ukihitaji tutawatumia, ingawa utahitajika kutuma na hela ya usafiri pia,,,wasiliana nasi kwa maelezo zaidi......0714-950054

















Friday, May 3, 2013

BURUDIKA BLOG!!!!!!!: Muone Anitha alivyopendeza kwenye harusi yake,Tuna...

BURUDIKA BLOG!!!!!!!: Muone Anitha alivyopendeza kwenye harusi yake,Tuna...: Muone Anitha alivyopendeza kwenye harusi yake,Tunakupenda anitha wetu  na tunakutakia kila la heri katika safari yako!!!!! Wadau hapa ni...

Muone Anitha alivyopendeza kwenye harusi yake,Tunakupenda anitha wetu 
na tunakutakia kila la heri katika safari yako!!!!!

Wadau hapa nimeluletea picha zake za harusi na chini ni picha za kitchen Party na nguo yake ya k'party ilishonwa na Mange Kimambi all the way from BONGOLICIOUS'''










Ilianza hivi.........







  Gauni ilitoka kwa www.bridalmegamall.com US



 




Alipenda kuwa natural zaidi.......bila kuwa na make ups  nyingiiiiiiii







so happyyyyyyyyy




  ndoa ilifungwa St.Immaculate Church Upanga...



Baba akienda kumkabidhi anitha.












Happy people...










ha
pa ni kina kaka na mashemeji zake.............












kuanzia kushoto hapa niLucy, my wifi Judy, Irene, Beatrice, Happy, Vivette and Eva.































UKUMBI ulikua ni JK Marquee at the Mwalimu Nyerere Grounds...









Kina mama wakiingia ukumbini














 Bubbly...









divas!!!


hapa ni Lucy, Asha, Jackie, Imelda, Bahati, Allie, Janeth, Salama and Irene...








wakiingia ukumbini na atron wake  matron Bahati




S

ni  Catherine, na Matron Bahati


wakisali





wanakamati













akiwa na  amazing mama...






mkia huo umeuona



















Fortu,Janet, Kanaeli, Eve,Mary na Happi


Renee, Leah, Thecla, Mary, Beatrice, my ex boss Nunu, Janet and Olivia 











my aunt Fina, cousin Editha, Bahati, Mama, my young bibi Midi and grandma




zawadi time...




W














LOL...tired!!

                                                                             Ze End!