Saturday, December 1, 2012

 

EEEEEEEEEE BWANA UMENICHUNGUZA

NAKUNIJUAAAAAAAAA.........wewe wajua kuketi kwangu na kuondoka kwangu

 Asubuhi hii nimeamka nikiwa naimba wimbo huu....na nilikua naburudika jamani sijawanyima kitu

 Imba na mm  huu hapa

umelifaham wazo langu tokea mbaliiiiiiiiiiiiii.............

 

          nimeipenda hii....real

  Nimeona nishee na nyinyi asubuhi hii............

                yaweza kuwa kuna ugumu flani unaopitia but dont give up    banaaaa'''' AMINI STILL U CAN DO SOMETHING FOR YOUR LYF

                                    barikiwa rafiki


HONGERA OBAMA''''''''

Hii ilikua hugging ya ushindi its lyk they are saying GOD IS GREAT again,,,,,,this is our world

Thank you MY WIFE...Thank you HUSBAND