Tuesday, January 1, 2013

1st DAY OF 2013




Wengi wamekukuta njiani hawajui ulipotoka,hawajui uliyopitia,hata hawajui unakokwenda,
Lakini wamejivika umahiri wa kukuchambua na wamegeuka watabiri.
Usitumie muda mwingi kuwafikiria,

 

 

safari ni yako na ni ndefu sana, achana na wapita njia elekeza nguvu zako katika ndoto zako na safari yako, Mlinzi na kiongozi wako ni MUNGU, sisi wengine ni mashabiki tu,,nakutakia mafanikio mema mwaka 2013..