Monday, December 10, 2012

MCHEZA FILAM MAARUFU NIGERIA AFARIKI DUNIA





Mkongwe katika tasnia ya Filamu Nollywood Mzee Enebeli Elebuwa afariki dunia 

                  R.I.P ENEBELI ELIEBUWA










SECOND CHANCE'''''''''''''

  Kwa mtazamo wangu kila mtu anayo nafasi ya kupata second chance kwani hakuna aliye mkamilifu chini ya jua na hakuna ambae aliwahi kukaa bila kukosea eneo fulani so ray c ni sehemu yake ya kujifunza na kusonga mbele

Hatimae Ray c amshukuru rasmi Raisi Jakaya Kikwetre Kwa msaada aliompa kwani sasa amekiri kupona na hali yake kuimarika sasa..




Pichani ni ray c na raisi JAKAYA KIKWETE alipomtembelea ikulu mjini Dar es salaam



Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja na Ray C watu kushoto,Mama yake mzazi RayC Bibi Margareth Mtweve(kushoto) na kulia ni Sarah Mtweve Dada yake Ray C(Picha na Freddy Maro)







MIUJIZA YATENDEKA MKUTANO WA BIAFRA

Hakika mungu alionekana kwa njia ya maombi na nyimbo...na waimbaji tofauti yoka sehemu mbalimbali walikuwepo kumlilia Mungu






BAHATI BUKUKU kimwimbia mungu


Maombi yakiendelea na roho mtakatifu akiendelea kufungua watu


Ni baadhi ya watu waliokua wakiendelea kutoa ushuhuda



HAPA NI MR.tusimfu  akimwimbia mungu

BI KIDUDE ATUNUKIWA NISHANI YA SANAA NA MICHEZO

Ni bibi kidude


Hapa ni Mheshimiwa  wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania JAKAYA KIKWETE akiimtunuku bi fatma binti baraka a.k.a bibi kidude katika maadhimisho ya miaka 51 ya uhuru wa Tanzania.........akiwakilisha mchango wa kipekee katika sanaa ya Tanzania












FLAVIANA MATATA APATA TUZO YA FACE OF AFRICA

Hatimae mwanamitindo maarufu Flaviana Matata amepata tuzo ya face of africa kupitia  african diaspora awards 2012 iliyofanyika New York Marekani





HONGERA FLAVIANA  KWA KUIWAKILISHA TANZANIA



Hii ni TUZO yenyewe''''''''''''' CONGRATULATION