Thursday, December 6, 2012

PRAYERS


  Jamani pamoja na yote kabla ya yote always tukumbuke kusali

Dear JESUS, 

I thank You every day for what You went through to save me''''

The beatings, the embarrassment, getting spit on, the lashes, the nails, the spear, the mocking, and most of all, dying on the cross for MY sins and the sins of the WORLD''''

 Every time I think about it, I can’t help but cry out to You with thanksgiving. 

     Amen,

HUYU NDIE MWANAMKE MREFU KULIKO WOTE DUNIANI

Je una unamfaham mwanamke ambaye ni mrefu zaidi kuliko wote'''''''''ni huyu hapa

tushirikishane sababu kila mtu anajua kitu zaidi ya mwingine yaweza kuwa yupo mdau......... 

hakika Mungu ni wa ajabu na siku zote yeye halinganishwi na kitu chochote


BONGOCLAN

akiwa ameketi huwa kama hivi

na hapa akiwa amesimama

BONGOCLAN

USIKATE TAMAA''''''NO MATTER WHAT

                        Jamani ........

katika haya maisha kila mtu kila mmoja kwa wakati wake huwa anapitia matatizo na majaribu sababu matatizo ni kawaida na unaweza kukata tamaa as if haitokuja kufikia siku ukaweza kusahau yaliyokupata

Ninaomba nikutie moyo kuwa NO MATTER how much u have suffered still u can make something...amini

wewe unaweza sababu mungu ndio muweza wa yote kikubwa ni kujaribu na utafanikiwa bila kusahau kumtegemea Mungu.

                KINGINE,kuna watu wengi wao kazi yao ni kuwakatisha tamaa wenzao bila sababu as if wao ni miungu watu jamani '' i always hate these people''  huwa napenda mtu anaeweza kumjenga mtu kisaikolojia hata kwa punje ya neno moja tu la kumsaidia asikate tamaa sababu elewa wewe kwa nafsi yako unaweza kubadilisha maisha ya mtu mahali flani na unaweza kuharibu hisia za mtu only kwa kutumia maneno na ulimi wako na ukiweza kujua kuna mtu mara nyingiiiii amekua akikukatisha tamaa epukana nae atakupotezea muda wako mwingi na utajiona huwezi na kukutia woga na hii inahitaji ujasiri ni wapi unaweza kumshirikisha mawazo yako na wapi uendelee kufanya bila kusikia maoni yake coz yatadistruct hisia za maendeleo yako.......


                              Kati ya nyimbo ambazo nimezisikiliza leo ni huu hapa.......join me




Anza upya sababu Mungu always ana makusudi na watu wake na shida zilizopo ni changamoto tu usiogope 

hata waliofanikiwa ukisikia historia zao hawakufanikiwa from no where walipitia matatizo mengi