Monday, January 28, 2013

Ni kazi ilivyokua SITE'''' jionee




hizi ni baadhi ya kazi zetu..






Before hatujaweka pazia

shee ikiandaliwa

yaani unaweza kumfukuza fundi akiwa kazini ukahisi anakuharibia mpangilio wa nyumba yako.... hivi kweli..... ila usihofu kila kitu kitakwenda poa....at the end


 Shee ikiwekwa hooks




marinda ya pazia. fundi akifanya kazi yake.....








kabla ya kuweka pazia hua tufuta vumbi curtain poles. homez deco hatufanyi kazi ilimradi... yaani bora liende.... hiyo kwetu haipo. 

hapa fundi akidrill ukuta kwa ajili ya kuweka curtain holder


nilitoa pia ushauri, kama unavyoona kua tumepunguza baadhi ya picha za ukutani, na tumetoa vitambaaa. Leather sofas hua hazitandikwi vitambaa..


Baada ya kuweka pazia. (sehemu ya kanuni ya Homez Deco ni kwamba acha nyumba safi kama ulivyoikuta, wateja wetu wamejionea hiloooo)

coffee table

Stools


photos

Hii ni kazi ya Homez Deco, tuliweka mapazia, na kama picha zinavyojionyesha...... Nyumba hii ina theme ya Africa.... Kwa kweli nilipenda sana theme hii, na upambaji wa kiafrika, hua unapendeza sana sana, na hua haichoshi mapambo yake. kwa haraka haraka tuu mapambo yote kwa ujumla nilivyoyaoona ni kua, mwenye nyumba anapenda sana mandhari ya bahari, na ya kitamaduni ya kiafrika,,,

Naomba nikuambie, wengi wetu hua tunapamba nyumba alimradi tuuuu rangi zipo basiiii. Nyumba inatakiwa ikukaribishe, inatakiwa iwe friendly etc. Sasa basi hebu tuchukue mfano huuuuu, pamba nyumba kutokana na theme unayoipenda, Kama unapenda bahari basi weka corals etc.

Hii itakusaidia sana sana ku pamba nyumba yako, kwa urahisi sana.....

Enjoy......

Tuesday, January 22, 2013

leo ni Curtain Rails....jionee''


leo ni Curtain Rails....jionee'' na kazi ilikua kama ifuatavyo........

Hapa Pazia letu liko tayari
Fundi akifanya final touches
Tuna taste kama rail zetu zinafanya kazi,


Hapa tumeweka sheer 
Hapa sylivia akitaste hizi kamba, na pia uimara wa rail ilivyoshika ukuta, (isije leta balaa), then akampa go ahead fundi kuweka pazia sasa, baada ya yeye kuridhika na uimara,hapa ni kazi tu kwakweli''




Fundi akifitisha kamba,hakuna mchezo manaake hii ni hela ya mtu anaehitaji kitu kizuri kutunza nyumba yake,so wakati wote tunaheshimu kazi zetu na kuzingatia maadili ili kumfanya mteja wetu aridhike na kilichofanyika




kazi ilianza hivi
Leo nimeona tuongelee kuhusu curtain rails, hizi kama zinavyoonekana hapa, moja ni ya pazia nyepesi, na ingine ni ya pazia nzito, sasa basi kwa wale wasiopenda mambo ya urembo wa curtain pole, ninawashauri watumie hizi, ni nzuri, imara, na ni rahisi kutumia, haiharibu ukuta pia.(curtain poles sio kua zinaharibu ukuta hapana, hii ni kwale wanaopenda vitu simple sababu kila mtu ana mapendekezo binafsi).

Monday, January 21, 2013

moja ya kazi ya home deco


Hii ni mojawapo ya kazi ya Homez Deco ambayo mteja wetu alitaka tumchoree katika duka lake la vitu vya watoto ........ tunakukaribisha hata km una sehem ndogo ichore papendeze sababu ni kimfaacho mtu chake










hapa kazi ndio ilikua inaanza

Hili ni duka la nguo za watoto, Homez Deco, tuli design, na kuchora hizo picha, kama ninavyosema, kila kitu kinawezekana hapa kwetu, big up  Tom & Jerry



 Pia hapa tunapokea uhitaji wa mtu anataka achorewe nini kati ya cartoons nyingi zilizopo hata kama itakua ni image ya picha ya mtoto mwenyewe iwe chumbani kwake inawezekana kabis.