Tuesday, December 4, 2012

Huyu ndie mshindi Maisha Plus

         '''''''''MAISHA PLUS NA BERENIKI  KIMARO''''''''''''

             Huyu ndie mshindi wa maisha plus..na amejipatia shillingi mill.20

                      anaitwa bereniki kimaro,,yeye ni mama wa mtoto mmoja mwenye miaka sita,

 Offcourse ni  lazima alikua na ndoto ya kitu flani imagine leo ndoto yake imekua ni furaha kwake na familia yake na kwa mdomo wake amekiri kuwa yeye c kitu kwa wenzake ila ni MUNGU.

                            Wadau wa BURUDIKA BLOG tunamtakia kila la kheri katika maisha yake mapya

 

No comments: