Wednesday, December 5, 2012

NI MARTIN KADINDA NA TUZO ZA SWAHILI FASHION

Mbunifu maarufu Martin Kadinda

anaomba watanzania wampigie kura katika swahili fashion week 2012 kama mbunifu bora wa nguo za kiume

cheki hio logo hapo kwaajili ya kumpigia kura


No comments: