
Mshindi wa Epiq Bongo Star Search 2012WALTER CHILAMBO katikati,baada ya kukabidhiwa zawadi ya mshindi wa kwanza jumla ya Shilingi Milioni 50 za Kitanzania

Mshindi wa pili katika shindano hili kushoto ni Salma Yusuph muda mchache akiwa naWalter Chilambo kabla ya kutangazwa mshindi.

ni wakati wa kufanya make up

Anaitwa Salama mmoja wa majaji wa shindano hili
chini,,,,,,,
Washiriki wa Washindano la EBSS 2012 ambao wamefanikiwa kuingia fainali ya shindano hilo wakiwa jukwaani usiku huu wakati wa kuanza kwa fainali hizo. Ni ndani ya Ukumbi wa Diamond Jijini Dar es Salaam. Mshindi kuondoka na kitita cha Shilingi Milioni 50 za kitanzania.

No comments:
Post a Comment