Wednesday, January 2, 2013

FLOWER VESSE

 Kiukweli ukiweka nyumbani kwako zinavutia na kufanya mwonekano wa tofauti sababu zinarangi flani za kuchangamsha..
jamani tujitahidi kubadilika hata kwa kidogo kupendezesha nyumba zetu.....mtu akijakwako angalau apate kitu cha tofauti na kukuuliza,jionee then let me know umependa nini nipigie 0714950054 beatrice.

Tunawapenda wateja wetu karibuni sana




hivi hapo juu ni small flower verse Tsh. @12,500/= ila hutumika pia kuwekea vitu vidogo vodogo kama hereni,pete,cheni,maofisini  hutumika pia kuwekea stationery mezani kweli hupendeza sanaaaaa




Hizi flower verseTsh. 50,000/= kama bakuli na hizo unazozizoona kama mipira ni urembo wa mezaniTsh.@2000/=


Flower verse za round ndogo ni Tsh.25,000/= Hiyo nyeupe Ths.28,000/= nyekundu ya shape ya moyo Tsh.35,000/= Round shape kubwa Tsh.35.000/=







No comments: