Wednesday, January 2, 2013

IT'S BED DIFFERENT DESIGNS PART 1

OFFICIALLY!!!!!!!!
INTRODUCING TO YOU,
 THE SPONSORSHIP OF MY BLOG FROM 

HOMEZ DECO
creative Homez


Homez Deco -  Kreative Homez

Napenda kuchukua fursa hii kutoa shukrani
 zangu za dhati na za pekee zimuendee mmiliki wa HOME DECO Sylivia a.k.a mama jaydan kwa kunipa fursa ya udhamini wake kuendesha blogu yangu !!!

Si kwamba ninafaa sana ila ni neema ya Mungu kumshukuru kwa kila hatua anayokupa katika maisha,nina furaha ya ajabu katika hili!!

Namshukuru Mungu kwani nahisi ni hatua ingine ambayo amenipa kwa mwaka 2013.Napenda kuwafahamisha rasmi kuwa kuanzia sasa wadau wangu mtakua mnapata vitu mbalimbali kwa bei za kawaida kabisa ambavyo vinapatikana homez deco na utaweza kutoa oda yako na tutakufikia hapo ulipo.Nitafute kwa chochote utakachopenda kupitia no.0714950054,0754207238 

beatrice AU kwa e-mail yangu bkanemba@yahoo.com

Tunakukaribisha kwa jinsi ya pekee sababu tunaamini bila wewe mdau hatuwezi kufanya chochote...


TUNAKUTHAMINI na KUKUPENDA.jisikie huru kutoa maoni,mawazo yoyote ya kujenga na kukosoa sababu tunaamini mtu huwezi kujifunza bila kukosolewa.

Guys feel at home,

lets decorate..... 
u a most wellcome@'''''


Vitanda vinapatikana kwa kutoa order...na kitakua tayari ndani ya siku 7.... Vitanda vyote ni 5 by 6....Tunawapenda wateja wetu karibuni sana

Hiki ni 450,000/-

hiki ni 400,000/-

hiki ni 400,000/-

hiki ni 400,000/-

Hiki ni 430,000/-

Hiki ni 390,000/-

Hiki kitanda bei ni shs, 360,000/=


Bei hizi ni bila usafiri.......utalipia usafiri tukikuletea kukufungia. chaga za vitanda hivi ni za mbao...rangi ya vitanda hivi ni nyeusi.....karibuni sana.

Bei Tsh.650,000/=

Bei Tsh.330,000/=


Bei 450,000/=



Bei Tsh.380,000/=

Kitanda bei Tsh.400,000/= Dressing table inakuwa na kiti chake300,000/= bedside table 1 ni 110,000/=






No comments: