hakika MUNGU wetu hukaa kwenye sifa,
Ni Tamasha la Praise in the City lililoandaliwa na kanisa al living Waters
Makuti Kawe jijini Dar es salaam limefanyika vyema kama ilivyotarajiwa
na kubariki wengi waliohudhuria katika ukumbi wa Diamond jubilee.
Tamasha hilo lilihudhuriwa na waimbaji mbalimbali kama
John Lisu, Glorious Celebration,Riot dancers
wandaaji wa tamasha hilo Living Waters pamoja na waimbaji wengine.
Mtume Onesmo Ndegi akizungumza jambo
Baadhi ya wapigaji wa Living waters wakiwa tayari jukwaani.
GLORIOUS CELEBRATION walikuwepo pia kumtukuza MUNGU wetualiye hai
No comments:
Post a Comment