Friday, March 6, 2015

NI CUPCAKE TIME


Asante sana mteja wetu kutuamini na kukuhudumia....Ni faraja yetu kuona mteja anafurahia huduma zetu
Karibuni tunawapenda sana

KISURA CUPCAKE OPENING

Its all abous YUMMIES!
Wellcome lets have your order through 0714950054


KISURA CUPCAKE OPENING

Hellow wadau wa Burudika Blog,tunapenda kuwatangazia kuwa tumeanzisha huduma mpya ya cake....ni mjumuisho wa aina mbalimbali wa cake Zinazovutia na kupendeza,especially for kids parties na nyingine nyingi.LETS MAKE YOUR DAY!

Tunawapenda sana,karibuni sana

Kwa oda tafadhali wasiliana nasi kwa 0714 950054