Sunday, December 2, 2012

            NDOTO..........

Jamani kuna kitu kilinipa moyo sana pale nilipoangalia moja ya kipindi kilichokua kinarushwa hewani na mwanadada JOYCE KIRIA..a.k.a The super dupa woman

Ilikua ni kuhusu ndoto.....katika maisha yetu kila mmoja ana ndoto zake so pale unapowish kufanya kitu please usijali mtu anakusema vibaya coz wanadam wapo tu kuongea jamani just do it no matter what na Mungu hatokuacha atakupa maarifa tu....

Acha watu waongee hamna mtu wa kukupatia maisha mazuri ni wewe mwenyewe loh''

'go.....go ......goooooooooo NO MATTER WHAT huku ukimtanguliza Mungu mbele yako nothing is impossible