NI FARAJA!
Ni faraja iliyoje kujua kuwa hata kama hakuna wa kukusaidia EBENEZA yupo!.....
Hata kama mtu atakuwa mbali na wewe EMANUEL yupo karibu!.....
Hata kama hakuna wa kuitika na kukujali ELISHADAI yupo!......
Hata kama hakuna wa kuponya JEHOVA YUPO!......
Hata kama hakuna mtetezi YESU YUPO!............
Hasinzii' Hachoki' Tena hukulinda usiku na mchana,tumwamini yeye anajua kesho yetu hakuna kukata tamaa...
BARIKIWA RAFIKI