Mkongwe katika tasnia ya Filamu Nollywood Mzee Enebeli Elebuwa afariki dunia
Monday, December 10, 2012
SECOND CHANCE'''''''''''''
Kwa mtazamo wangu kila mtu anayo nafasi ya kupata second chance kwani hakuna aliye mkamilifu chini ya jua na hakuna ambae aliwahi kukaa bila kukosea eneo fulani so ray c ni sehemu yake ya kujifunza na kusonga mbele
Hatimae Ray c amshukuru rasmi Raisi Jakaya Kikwetre Kwa msaada aliompa kwani sasa amekiri kupona na hali yake kuimarika sasa..
Pichani ni ray c na raisi JAKAYA KIKWETE alipomtembelea ikulu mjini Dar es salaam
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja na Ray C watu kushoto,Mama yake mzazi RayC Bibi Margareth Mtweve(kushoto) na kulia ni Sarah Mtweve Dada yake Ray C(Picha na Freddy Maro)
MIUJIZA YATENDEKA MKUTANO WA BIAFRA
Hakika mungu alionekana kwa njia ya maombi na nyimbo...na waimbaji tofauti yoka sehemu mbalimbali walikuwepo kumlilia Mungu
BAHATI BUKUKU kimwimbia mungu
Maombi yakiendelea na roho mtakatifu akiendelea kufungua watu
Ni baadhi ya watu waliokua wakiendelea kutoa ushuhuda
HAPA NI MR.tusimfu akimwimbia mungu
BI KIDUDE ATUNUKIWA NISHANI YA SANAA NA MICHEZO
Ni bibi kidude
Hapa ni Mheshimiwa wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania JAKAYA KIKWETE akiimtunuku bi fatma binti baraka a.k.a bibi kidude katika maadhimisho ya miaka 51 ya uhuru wa Tanzania.........akiwakilisha mchango wa kipekee katika sanaa ya Tanzania
FLAVIANA MATATA APATA TUZO YA FACE OF AFRICA
Hatimae mwanamitindo maarufu Flaviana Matata amepata tuzo ya face of africa kupitia african diaspora awards 2012 iliyofanyika New York Marekani
HONGERA FLAVIANA KWA KUIWAKILISHA TANZANIA
Hii ni TUZO yenyewe''''''''''''' CONGRATULATION
Subscribe to:
Posts (Atom)