Sunday, December 16, 2012

NI MASTAA WA INJILI



Christina shusho akiinua jina la bwana katika sifa




Upendo kilahiro nae alikuwepo kuinua jina la bwana hapa akiwa amezama katika utumishi wake na timu nzima ikijitahidi kumkandamiza shetani

Hapa ni upendo nkone na upendo kilahiro, JINA LA BWANA LIHIMIDIWE







Watumishi wa bwana wakiimba katika tamasha hilo
















Hakika MUNGU hukaa katika sifa na hata sisi binadam tusipomuimbia miti na milima na vilindi vyote vitainuka na kumuimbia yeye............

 

               LETS PRAISE ALWAYS FOREVER'''''''''''