Sunday, December 30, 2012
MWAKA 2013!!!!!!!! RUHUSU AMANI YAKE KATAA MAHANGAIKO
Yamebaki masaa machache mpaka kuuona mwaka 2013'''''
Jamani Mungu ana huruma, wema,neema,rehema,upendo sana,
ukitafakari unaweza anza kulia tu hata kama ni mwanaume na haijalishi uwe ofisini,maombini, unaendesha gari,umelala,unatembea, unapika,unasoma, unalima huko village, uko bafuni unakoga, unaweza piga magoti huko huko hata haisumbui, maji ya mvua uyayokoga yanapoendelea kukumiminikia, unaweza anza kububujika na machozi ya furaha na kunena mara tu ukumbukapo wema na fadhili zake............
Usikate tamaa kwa yale ambayo hayakuwezekana 2012 basi amini kuwa yatafanyika kwa uwezo wake,.....
blogu hii ya burudika inawatakia kila la kheri katika maandalizi ya kuukaribisha mwaka 2013!!!!
WE ALL LOVE UUUUU!!!!!!
WANAMUZIKI WA INJILI NA WACHEZA FILAM WAKIWA NA NAIBU WAZIRI WA MICHEZO
Ni kikao kikubwa kati ya wadau na viongozi mbalimbali wa
muziki na filamu na Mheshimiwa Makala ambaye ni Naibu waziri wa habari, vijana,
utamaduni na michezo
Lengo la kikao hicho ni wasanii kufahamishwa jinsi serikali ilivyojipanga kuwasaidia wasanii wa Tanzania, ili wanufaike na kazi zao na kuwajengea heshima zaidi.
Katika kikao hicho chama cha muziki wa Injili Kimewakilishwa na Addo November, John Shabani, Bahati Bukuku, Upendo Kilahiro, Cosmas Chidumule, George Mpella na Stella Joel,pichani ni matukio katika kikao hicho
Bahati bukuku akiongea jambo wakati wa kikao
Hapa wadau wakipata picha ya pamoja wakati wa kikao hicho
Pichani ni mcheza filamu maarufu JB akichangia hoja na mawazo yake
Ni mcheza filamu Ray akiongea na waziri wakati wa kikao hicho
Subscribe to:
Posts (Atom)