Jamani colours always huwa zina maaana kubwa katika swala zima la fashion.....Naongelea colours tofaututofauti mfano rangi hii ni easy na soft but inarock mtu anapovaa na inamatch na rangi zingine pia endapo mtu nawish kuchanganya.......
HAPA SASA najua siko peke yangu naelewa na wezangu kama elfu moja wanaopenda kuvaa nguo za rangi nzuri ........hebu sema huwa unafeel vipi ukiwa umevaa nguo ya rangi nzuri ukapendeza ............binafsi huwa nafeel more Confident i cant make in words na kila kitu kinakua under control'''''
ONA HIZI,
NIMEPENDA HIZI VARIETIES AND IM SO IN THEM LOH'''''''
Nahisi kama una kitu cha kufanya zaidi ya wengine inachotakiwa ni kumshukuru Mungu kwa nafasi uliyopo na zaidi jaribu kuwatia moyo wanaohitaji msaada wako ili waelewe na kufanikisha sio kuwalaumu na kuwavunja moyo...........
guys''''
MSHUKURU MUNGU KWA KILA JAMBO WALA USIMDHARAU YEYOTE KWAKUWA WW UNA KITU CHA ZIADA KULIKO YEYE