Thursday, December 27, 2012
IRENE UWOYA ASHEHEREKEA BIRTHDAY YAKE NA WAGONJWA MWANANYAMALA
Tumezoea kuona tofaoti kwa baadhi ya mastaa mbalimbali kufanya party kubwa na nzuri katika kusherehekea siku zao
za kuzaliwa, hivi karibuni Irene Uwoya aliamua kufanya kitu tofauti
katika siku yake ya kuzaliwa, December 18.
Muigizaji huyo mrembo aliamua kwenda kwenye hospitali ya Mwananyamala
kutoa misaada mbalimbali kwa wagonjwa waliolazwa ikiwa ni pamoja na
kuwafariji.
Ilikua kama ifuatavyo katika pichambalimbali........kwa uhakika lilikua wazo zuri na huu ni mfano wa kuigwa
Subscribe to:
Posts (Atom)