Friday, December 7, 2012
MORNING PRAYERS
EE YESU UNIREHEM.............
Sawa sawa na fadhili zako,,nimekutenda dhambi wewe peke yako,
Inanitosha neema yako na rehema zako,
Nimekosa mbele zako
Unimulike na jicho lako,niipate faraja yako
AMINA'''''
NI JANET SOSTHENES MWENDA
'''''''Hatimae Mtangazaji wa Muda mrefu aliekua anatangaza habari ITV Janet Sosthenes Mwenda, jana ametangaza rasmi kwamba amerudi kwenye TV na show inayoitwa “ONGEA NA JANET”
'''''''Shoo hiyo itakua ikirushwa na CLOUDS TV
Wakati wa mahojiano
mahojiano yakiwa yanaendelea
akiongelea kuhusu kipindi chake
NI ENEO RASMI LILILOANDALIWA KWAAJILI YA UZINDUZI HUO....NI CHICHI HOTEL
Hapa Janeth akielezea madhumuni ya kipindi hicho na changamoto mbalimbali anazokumbana nazo katika maandalizi ya kipindi
Isack gamba wa ITV/RADIO ONE akibadilishana mawazo na MR.DONALD TALAWA
Marafiki wa karibu wa janeth walikuwepo kumuunga mkono mwenzao kwa hatua nzuri aliyoifikia
NI BEATRICE WILLIAM WA BONGO STAR SEARCHH
Mwanamuziki aliekua mshindi wa Bongo Star search Beatrice William hatimaye ameamua rasmi kuokoka na alifanya maamuzi hayo katika kanisa la Mikocheni B assemblies of GOD.....
'''''''Hongera Beatrice na ''''''''''
Tunakutia moyo KUWA Mungu ana makusudi na maisha yako...Mwamini Mungu yeye ni wa haki na kweli hatokupungukia
Subscribe to:
Posts (Atom)