hizi ni baadhi ya kazi zetu..
Before hatujaweka pazia
shee ikiandaliwa
yaani
unaweza kumfukuza fundi akiwa kazini ukahisi anakuharibia mpangilio wa
nyumba yako.... hivi kweli..... ila usihofu kila kitu kitakwenda
poa....at the end
Shee ikiwekwa hooks
marinda ya pazia. fundi akifanya kazi yake.....
kabla
ya kuweka pazia hua tufuta vumbi curtain poles. homez deco hatufanyi
kazi ilimradi... yaani bora liende.... hiyo kwetu haipo.
hapa fundi akidrill ukuta kwa ajili ya kuweka curtain holder
nilitoa
pia ushauri, kama unavyoona kua tumepunguza baadhi ya picha za ukutani,
na tumetoa vitambaaa. Leather sofas hua hazitandikwi vitambaa..
Baada
ya kuweka pazia. (sehemu ya kanuni ya Homez Deco ni kwamba acha nyumba
safi kama ulivyoikuta, wateja wetu wamejionea hiloooo)
coffee table
Stools
photos
Hii
ni kazi ya Homez Deco, tuliweka mapazia, na kama picha
zinavyojionyesha...... Nyumba hii ina theme ya Africa.... Kwa kweli
nilipenda sana theme hii, na upambaji wa kiafrika, hua unapendeza sana
sana, na hua haichoshi mapambo yake. kwa
haraka haraka tuu mapambo yote kwa ujumla nilivyoyaoona ni kua, mwenye
nyumba anapenda sana mandhari ya bahari, na ya kitamaduni ya kiafrika,,,
Naomba
nikuambie, wengi wetu hua tunapamba nyumba alimradi tuuuu rangi zipo
basiiii. Nyumba inatakiwa ikukaribishe, inatakiwa iwe friendly etc. Sasa
basi hebu tuchukue mfano huuuuu, pamba nyumba kutokana na theme
unayoipenda, Kama unapenda bahari basi weka corals etc.
Hii itakusaidia sana sana ku pamba nyumba yako, kwa urahisi sana.....
Enjoy......