Tuesday, December 18, 2012
MAAJABU
MAPACHA WENYE MIEZI KUMI WANAOJUA KUOGELEA KAMA SAMAKI
Ni william na ellenita
Hakika MUNGU ni wa ajabu wakati wote loh''
Hapa je
Ni william na ellenita
Hakika MUNGU ni wa ajabu wakati wote loh''
Hapa je
TUNAJIFUNZA NINI?
Ukuu wa Mungu ni wa juu zaidi kuliko vyote na pale akili ya kibinaadam inapoishia ndipo ukuu wake unapoanzia na hauna kipimo nyakati zote
Ni vipi tunaweza jiuliza maswali mengi kuhusu ukuu wake............katika akili za kibinadam tutaishia kujiuliza bila jibu ila INAWEZEKANA kwa MUNGU wetu kwani hakuna linaloshindikana kwake
Subscribe to:
Posts (Atom)