Ni shamim wa 8020 FASHION posing akiwa amerelax baada ya kazi nzuri ya kutupatia vitupio vya ukweli katika ulimwengu wa fashion ndani ya duka lake maarufu.........asante shamim a.k.a ZEZE.......
UNATISHA SHAM''
Wadau usiache kumtembelea dukani kwake maeneo ya sinza kwa mahitaji mbalimbali ya nguo,viatu,vitupio mbalimbali,handbags n.k
PICHA ZA CHINI ILIKUA NI KTK SHEREHE YAKE YA KUTIMIZA MIAKA MITANO
JINEEEE......
HONGERA SHAMIMU MWASHA 8020 Fashions Blog KUTIMIZA 5 YEARS YA LIBENEKE
Mgeni
Rasmi katika hafla ya kutimiza miaka 5 ya 8020 Fashions Blog, Mbunge wa
Viti Maalum wa CCM,Mh. Angelah Kairuki akisoma hotuba fupi ya ufunguzi
wa hafla hiyo iliyofanyika mchana wa leo kwenye ukumbi wa Diamond
Jubilee V.I.P Hall jijini Dar es Salaam.
Mwanzilishi
na Mmiliki wa Blog ya 8020 Fashions,Shamim Mwasha a.k.a Zeze
akizungumza wakati wa hafla hiyo ambayo ilihudhuliwa na wadau mbali
mbali na kufana sana.
Mgeni
Rasmi katika hafla hiyo ambaye ni Mbunge wa Viti Maalum wa CCM,Mh.
Angelah Kairuki akiwa na Da' Shamim Zeze na wadau kwenye Red Kapet.
Mc wa Shughuli hiyo,Dina Marios (kulia) akizungumza na Da' Shamim Mwasha wakati wa hafla hiyo iliyofana sana na kupendeza.
Wadau
Mbali Mbali walijitokeza kumpa tafu Da' Shamim Mwasha katika hafla ya
Besdei ya kuzaliwa kw Libeneke lake la 8020 Fashions Blog kwenye ukumbi
wa Diamond Jubilee V.I.P Hall,jijini Dar......PHEWWW
Mgeni Rasmi katika hafla hiyo,Mbunge wa Viti Maalum wa CCM,Mh. Angelah Kairuki akimlisha kipande cha keki Da' Shamim Mwasha.