hapa chini leah akiwa na mtangazaji mwenzake fatma matulanga wote wakiwakilisha tbc beijing.........
hapa LEAH MUSHI akiwa na mgeni rasmi Naibu Waziri wa Mambo ya nje wa China ZHAI JUN pamoja na mshereheshaji MATILDA... wakiimba wimbo wa Taifa .
leah,herself and the only one!!!! sisi wote penda wewe
Wapiganaji wa TBC, FATMA MATULANGA na LEAH MUSHI walikuwepo wakiiripotia TBC kutoka nchini China.
akiwa na rafiki zake siku ya sherehe hiyo ya muungano
Balozi Marmo akitoa speech kwa wageni waalikwa
Lea akionekana kwa mbaaali na pinc yake........hapa Wageni waalikwa kutoka sehemu mbalimbali walijumuika na watanzania katika sherehe hiyo
Kutoka kulia , MUROBI, MATILDA, DEBORAH, SWAHAL SAID na Mdau
Balozi MARMO na mkewe walijumuika na wageni waalikwa kucheza na kikundi cha Utamaduni cha SISI TAMBALA
Mduara ni sehemu ya utamaduni wakitanzania nao haukukosekana.
Keki ya muungano ilihusika ikiwa tayari kwa kuliwa,asante lea kwa keki ya kitanzania,sisi penda wewe sana coz unadumisha utamaduni wako
Balozi wa Tanzania nchini China PHILIP MARMO na mgeni rasmi wa china wote wawili wakikata keki hiyo
Balozi wa Tanzania nchini China PHILIP MARMO
akiwa na mgeni rasmi Naibu Waziri wa Mambo ya nje wa China ZHAI JUN
pamoja na mshereheshaji MATILDA... wakiimba wimbo wa Taifa .
Mkuara ni sehemu ya utamaduni wakitanzania nao haukukosekana.hapa Balozi MARMO na mkewe walijumuika na wageni waalikwa kucheza na kikundi cha Utamaduni cha SISI TAMBALA
KAA TAYARI KUONA PICHA ZAIDI'''