Thursday, December 6, 2012
HUYU NDIE MWANAMKE MREFU KULIKO WOTE DUNIANI
Je una unamfaham mwanamke ambaye ni mrefu zaidi kuliko wote'''''''''ni huyu hapa
tushirikishane sababu kila mtu anajua kitu zaidi ya mwingine yaweza kuwa yupo mdau.........
hakika Mungu ni wa ajabu na siku zote yeye halinganishwi na kitu chochote
akiwa ameketi huwa kama hivi
na hapa akiwa amesimama
USIKATE TAMAA''''''NO MATTER WHAT
Jamani ........
katika haya maisha kila mtu kila mmoja kwa wakati wake huwa anapitia matatizo na majaribu sababu matatizo ni kawaida na unaweza kukata tamaa as if haitokuja kufikia siku ukaweza kusahau yaliyokupata
Ninaomba nikutie moyo kuwa NO MATTER how much u have suffered still u can make something...amini
wewe unaweza sababu mungu ndio muweza wa yote kikubwa ni kujaribu na utafanikiwa bila kusahau kumtegemea Mungu.
KINGINE,kuna watu wengi wao kazi yao ni kuwakatisha tamaa wenzao bila sababu as if wao ni miungu watu jamani '' i always hate these people'' huwa napenda mtu anaeweza kumjenga mtu kisaikolojia hata kwa punje ya neno moja tu la kumsaidia asikate tamaa sababu elewa wewe kwa nafsi yako unaweza kubadilisha maisha ya mtu mahali flani na unaweza kuharibu hisia za mtu only kwa kutumia maneno na ulimi wako na ukiweza kujua kuna mtu mara nyingiiiii amekua akikukatisha tamaa epukana nae atakupotezea muda wako mwingi na utajiona huwezi na kukutia woga na hii inahitaji ujasiri ni wapi unaweza kumshirikisha mawazo yako na wapi uendelee kufanya bila kusikia maoni yake coz yatadistruct hisia za maendeleo yako.......
Kati ya nyimbo ambazo nimezisikiliza leo ni huu hapa.......join me
Anza upya sababu Mungu always ana makusudi na watu wake na shida zilizopo ni changamoto tu usiogope
hata waliofanikiwa ukisikia historia zao hawakufanikiwa from no where walipitia matatizo mengi
Subscribe to:
Posts (Atom)