Haya
kwa wale wenye sehemu za biashara, karibu tuwasiliane, sio lazima eti
iwe ni biashara kuubwa, hata ndogo uliyonayo, tuta decorate, kumbuka
kwamba, kwenye biashara kinachomvuta mtu wa nje ni rangi,pia tunapaka rangi majumbani unaweza penda kubadili sitting room yako,jiko,stores,bed room yako au play room ya watoto.....tuwasiliane 0714950054.tumeshafanya kazi nyingi za kupaka rangi toka kwa wateja wetu tofauti karibu na wewe....
mh'''jamani mimi nae maneno yamekua mengi nisikumalizie uhondo jionee mwenyewe.......
Uzinduzi wa Rangi za Dulux za kampuni ya Sadolin Paints..
''''happy people'''
sylivia alipata picha ya pamoja Kutoka Kushoto, Vailet, sylivia, Mr. Geoffrey yeye ni Protective Coating Manager, na Renalda, wote wakiwa na zawadi zao.......Ukuta huu ulipigwa rangi na waalikwa waliokua wamehudhuria.......
Mr. Ilyas, yeye ni Sales Manager .........ndiye aliyetupa mwaliko katika hafla hiyo ya uzinduzi
Mlango uliopigwa vanish........
ni picha inayoweza kuchorwa ikawa kivutio kwa watoto mfano katika shule na hata play rooms za watoto pia.....loh amaizing kwakweli
Rangi za milango/mbao zipo pia........unang'aa mlangooooo kama kioo..........hahhahahah nice.....
Kulikua na fashion show ya watoto walituandalia.....
Nilipenda huu mchoro..........
sylivia akiwa amepozi angalau kupata kumbukumbuku au kutiki jina kuwa alikuwepo uwiiiiiiiii'''''
Kuta zao kwa nje ya madarasa, wamechora picha za Tinga Tinga.... zinavutia sana,......si unaona ni kama wamebandika... kwa jinsi zilivyopendeza......
ha haaaaaaaaaaaaaaaa...sylivia mzigoni
Huu mti sio wallpaper jamani, umechorwa kutumia rangi zao, na umependeza kweli.... hongera kwa mchoraji.....kwa kazi nzuri....
Tulipata fursa ya kupaka rangi kwenye moja ya kuta waliyotuandalia..... na watoto......so interesting kwakweli
Shughuli ilifanyika katika kituo cha kulelea watoto cha SOS.....
Rangi hizo mnazoziona nje ya majengo ndizo za DULUX za kampuni ya SADOLIN Paints.... najua wengi wetu tunaifahamu kampuni hii ya Sadolin...
Uzinduzi wa rangi hizi mgeni rasmi alikua Mheshimiwa mama Salma Kikwete. Mheshimiwa mama Mary Nagu pia alikuwepo, na wengineo....
Shughuli ilikua nzuri, na ilienda vizuri, na tulipewa nafasi ya kujaribu rangi hizo kupaka ukutani na kujionea wenyewe...
Kwa kusema ukweli rangi hizi za DULUX ni nzuri, na ziko rangi za kila aina unazozitaka, kutokea kwenye rangi zilizo pooza, mpaka zile kali.....(from neutral colors, cool colors, warm colors etc.....)
tunapenda kuchukua fursa hii kwa kushukuru kualikwa na kujionea mwenyewe..... na tumealikwa kiwandani, kwenda kujua zaidi ya hizi rangi, na kupata maelezo zaidi juu yake..
tunawaahidi kuwaletea yote tuliyopata kutoka kwao...........
Bila kusahau tulipewa zawadi......... unataka kujua ni zawadi gani hiyooooo.......
Endelea kua nasi......
NB:
tuliwaahidi mwaka huu na kuendelea, mungu akitupa uhai, tutawaletea vitu vizuri, vya kuboresha ujenzi wa nyumba/ofisi zetu....... na kuremba nyumba kisasa.........Kazi imeanza sasa..........
Kazi ya Homez Deco.........Hii ni restaurant iko njia panda ya africana mbezi, mwisho wa ukuta wa mbezi tiles
Muonekano wa nje wa restaurant......kumbuka barabara inajengwa, ndio maana wakaweka daraja la muda hapo.......
Hawa ni wafanyakazi wa The Junction Restaurant....... Unajua bwana sisi tulimpenda mmliki wake, kwa kuchagua wanawake zaidi, mwanaume ni mmoja hakuwepo siku hiyo..... Sio siri tulifurahi sana kua wanawake wanapewa kipaumbele kwenye kazi....ona walivyo wasafi,, na mpishi anaonekana, waitress anaonekana, manager anaonekana........Hongera Elly.......Hapauzwi pombe......
sylivia alikaribishwa na juice kwanza, yaani hapa wateja wote ni sawa, si mnajua kua akienda mwanamke, haudumiwi haraka, akienda mwanaume ndio huduma fastaaaa. hapa hakuna hiyoooooo tuliipenda hii juice, jamani ni nzito kama vile wana shamba la matunda......
haya counter hiyoooooo kusafi kweli kweli......
dada yuko bize,,, na ni wasafi hawa watu wa jikoni,, hivi si unajua kwenye hizi restaurant zetu, jamani ni wachafu... utadhani chakula kikitoka hapo ni cha 5 star hotel duh...
Jiko........ hakuna mainzi hapo..... maana niliingia kila kona.......
mlango wa kuelekea toilet....
tulikua happy.....kwa kazi zao walivyojipanga.....
kusafijeeeee,,,,..... Hongera Elly....
Haya jiko hilooooooo.................. walikua wanafanya matayarisho ya chakula cha mchana...
toilets.......
sylivia herself......huwa tunahakikisha hatutoki kwako mpaka umefurahi na ni raha sana kuona mteja ameridhika na kazi yetu'''''''''
msisitizo......
jamani tupende visehem vyetu vya biashara hata kama ni padogoooo kama utapatengeneza patakua pazuri kwa kupaka rangi ...... kwa wale wenye sehemu za biashara, karibu tuwasiliane, sio lazima eti iwe ni biashara kuubwa, hata ndogo uliyonayo, tuta decorate, kumbuka kwamba, kwenye biashara kinachomvuta mtu wa nje ni rangi.........
Karibu The Junction Restaurant......

Hii
picha naipenda sanaaaaa,,,, sasa basi Elly yeye anapenda sana timu ya
manchester, sasa basi tulichofanya tukapaka hiyo rangi nyekundu, na tukachanganya na zinazoendana, ili kuipooza hiyo red, na ukiangalia hiyo
picha ndio kabisaaaa inazidi kuvutia.....