Wednesday, December 19, 2012

MWIGIZAJI NYOTA AMTANGAZA YESU

Ni siku chache kabla ya kumalizika kwa mwaka 2012, kumekuwa na matukio mbalimbali yakukumbukwa kwa mwaka huu kutoka kwa ndugu jamaa na marafiki yawezekana matukio hayo yakawa yafuraha au huzuni lakini yote kwa yote kwa sisi ambao bado tunapumzi ya uhai tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu. 

 Huyu ni mmoja kati ya waigizaji maarufu huko Afrika magharibi aitwaye Van Vicker kutoka nchini Ghana aliyejitambulisha vyema katika tasnia ya uigizaji kwa filamu ya Beyonce--President daughter sambamba na mwanadada Nadia Buhari, 

akiwa anafanyia shughuli zake za uigizaji nchini Nigeria, mwana kaka huyu mwenye familia ya mke na watoto watatu wawili wakike na mmoja mvulana, amefanya uinjilisti wa hali ya juu kupitia kurasa zake za Facebook ambako amekuwa akimtangaza Kristo kwa takribani mwaka mzima.

SIFA NA UTUKUFU NI KWAKE YEYE ALIYE JUU ZAIDI YA VYOTE





         Van Vicker akiwa na mkewe pamoja na watoto wake.   

Mwigizaji huyu mtanashati alikuwa akiulizwa maswali na mashabiki wake kutaka kujua dini yake pia kama anamwamini Mungu jambo ambalo Van Vicker alikuwa akilijibu kwa vitendo na kupata sapoti kutoka kwa mashabiki wake hao, akionyesha kumwamini Mungu kwakila kitu katika maisha yake tofauti na inavyofikiriwa na watu wengi kuwa waigizaji wa ukanda huo wanapenda kutumia ndumba ili wafanikiwe katika kazi zao.




                                         Picha ya Van Vicker na mkewe siku ya ndoa yao.

Hizi ni kati ya meseji alizowahi kuandika mwigizaji huyo katika kurasa zake za Facebook.




Thank you Jesus for the days of my life and thos of my family,fans and friend, may his Sunday be a blessing Sunday for us all in Jesus nam,amen

I love Jesus do you ?




This is the day the Lord has made you strike when it's your season, timing is everything. #Rooaar


Its being 19yrs with you. 10yrs of boyfriend, galfriend and 9yrs of marriage. Where I fall short u strengthen me and I become ur strength when u r weak. Today I thx God for u and for us and all He's done for us over the years. He is seeing us thru. Let's gun for 25yrs next. Thx for accepting to marry me 9yrs ago. I love lovin u, my wife. Muah.

176853,365Like ·  · 































NI PRAISE IN THE CITY ILIVYOFANA DIAMOND JUBILEE

 hakika MUNGU wetu hukaa kwenye sifa,

Ni Tamasha la Praise in the City lililoandaliwa na kanisa al living Waters Makuti Kawe jijini Dar es salaam limefanyika vyema kama ilivyotarajiwa na kubariki wengi waliohudhuria katika ukumbi wa Diamond jubilee.
  Tamasha hilo lilihudhuriwa na waimbaji mbalimbali kama

John Lisu, Glorious Celebration,Riot dancers wandaaji wa tamasha hilo Living Waters pamoja na waimbaji wengine.




                                   Mtume Onesmo Ndegi akizungumza jambo
 


Baadhi ya wapigaji wa Living waters wakiwa tayari jukwaani.









GLORIOUS CELEBRATION walikuwepo pia kumtukuza MUNGU wetualiye hai