Wednesday, January 2, 2013

CANDLE HOLDER


                      

Hizi ni candle holder, ndogo Tsh.10,000/= na kubwaTsh.20,000/= inategemea na matumizi yako, na inamishumaa yake kabisa.



Wall Candle holder....

 

 

 NI 30,000

 

 ni tSH 30000


Candle holder na candle ni 35,000

............Mimi binafsi nimezipenda Kwakweli inabidi kila siku mtu uwe mbunifu kwenye nyumba yako ndipo utazidi kuipenda, niviturahisi ambavyo kilammoja wetu anaweza akafanya na kubadilisha mwonekano wa nyumba zetu.

  Tafadhali toa oda yako na tutakutengenezea kadiri ya unavyohitaji..........

  Tunawapenda wote karibuni sana!!!!!!!!!!

 

Candle holders zapatikana kwa order Homez deco

Bei ni Ths. 50,000/= bila mishumaa
Tsh.20,000/=

Tshs. 45,000/


Tshs.38,000/=








Tshs.50,000/=





tshs. @ 25,000/-






Tshs. @ 25,000/=










hapa chini zinazofuata zinaitwa hamper,,,kuna zenye wine,champagne,mishumaa etc.Pia kama una zawadi au vitu vya kuwekakwenye humper unahitaji tukufungie karibu dukani bei inaanzia sh.52500-41000

 

FLOWER VESSE

 Kiukweli ukiweka nyumbani kwako zinavutia na kufanya mwonekano wa tofauti sababu zinarangi flani za kuchangamsha..
jamani tujitahidi kubadilika hata kwa kidogo kupendezesha nyumba zetu.....mtu akijakwako angalau apate kitu cha tofauti na kukuuliza,jionee then let me know umependa nini nipigie 0714950054 beatrice.

Tunawapenda wateja wetu karibuni sana




hivi hapo juu ni small flower verse Tsh. @12,500/= ila hutumika pia kuwekea vitu vidogo vodogo kama hereni,pete,cheni,maofisini  hutumika pia kuwekea stationery mezani kweli hupendeza sanaaaaa




Hizi flower verseTsh. 50,000/= kama bakuli na hizo unazozizoona kama mipira ni urembo wa mezaniTsh.@2000/=


Flower verse za round ndogo ni Tsh.25,000/= Hiyo nyeupe Ths.28,000/= nyekundu ya shape ya moyo Tsh.35,000/= Round shape kubwa Tsh.35.000/=







IT'S BED DIFFERENT DESIGNS PART 1

OFFICIALLY!!!!!!!!
INTRODUCING TO YOU,
 THE SPONSORSHIP OF MY BLOG FROM 

HOMEZ DECO
creative Homez


Homez Deco -  Kreative Homez

Napenda kuchukua fursa hii kutoa shukrani
 zangu za dhati na za pekee zimuendee mmiliki wa HOME DECO Sylivia a.k.a mama jaydan kwa kunipa fursa ya udhamini wake kuendesha blogu yangu !!!

Si kwamba ninafaa sana ila ni neema ya Mungu kumshukuru kwa kila hatua anayokupa katika maisha,nina furaha ya ajabu katika hili!!

Namshukuru Mungu kwani nahisi ni hatua ingine ambayo amenipa kwa mwaka 2013.Napenda kuwafahamisha rasmi kuwa kuanzia sasa wadau wangu mtakua mnapata vitu mbalimbali kwa bei za kawaida kabisa ambavyo vinapatikana homez deco na utaweza kutoa oda yako na tutakufikia hapo ulipo.Nitafute kwa chochote utakachopenda kupitia no.0714950054,0754207238 

beatrice AU kwa e-mail yangu bkanemba@yahoo.com

Tunakukaribisha kwa jinsi ya pekee sababu tunaamini bila wewe mdau hatuwezi kufanya chochote...


TUNAKUTHAMINI na KUKUPENDA.jisikie huru kutoa maoni,mawazo yoyote ya kujenga na kukosoa sababu tunaamini mtu huwezi kujifunza bila kukosolewa.

Guys feel at home,

lets decorate..... 
u a most wellcome@'''''


Vitanda vinapatikana kwa kutoa order...na kitakua tayari ndani ya siku 7.... Vitanda vyote ni 5 by 6....Tunawapenda wateja wetu karibuni sana

Hiki ni 450,000/-

hiki ni 400,000/-

hiki ni 400,000/-

hiki ni 400,000/-

Hiki ni 430,000/-

Hiki ni 390,000/-

Hiki kitanda bei ni shs, 360,000/=


Bei hizi ni bila usafiri.......utalipia usafiri tukikuletea kukufungia. chaga za vitanda hivi ni za mbao...rangi ya vitanda hivi ni nyeusi.....karibuni sana.

Bei Tsh.650,000/=

Bei Tsh.330,000/=


Bei 450,000/=



Bei Tsh.380,000/=

Kitanda bei Tsh.400,000/= Dressing table inakuwa na kiti chake300,000/= bedside table 1 ni 110,000/=






BEDDING TYM PART 2

Kwa udhamini mkubwa wa HOMEZ DECO!!!

Hapa ni design nyingine tena, Jionee toa oda beatrice 0714 950054

Vitanda NI vya chuma.......vitanda ni bila godoro.. 

na usafiri ni juu ya mteja.....karibuni. (size zote zinapatikana kuanzia 3,4,5,6,& 7 by 6)

 Size 5 by 6 350,000/-

 Size 5 by 6 380,000/-

 Size 5 by 6 395,000/-

 Size 5 by 6 350,000/-

 Size 5 by 6 380,000/-

 Size 5 by 6 395,000/-

 Size 5 by 6 380,000/-

 Size 5 by 6 350,000/-

 Size 5 by 6 350,000/-

 Size 5 by 6 350,000/-

 Size 5 by 6 380,000/-

 Size 5 by 6 350,000/-

 Size 5 by 6 380,000/-

 Size 5 by 6 350,000/-

 Size 5 by 6 350,000/-

 Size 5 by 6 350,000/-

 Size 5 by 6 350,000/-

 Size 5 by 6 350,000/-

 Size 5 by 6 350,000/-

 Size 5 by 6 380,000/-

 Size 5 by 6 350,000/-

 Size 5 by 6 380,000/-

Size 5 by 6 380,000/-



more designs

bei tsh. 400,000/=

bei Tshs.320,000/=


bei tsh.450,000/=



bei tsh 350,000/= bed side table @ 90,000/=




bei tsh. 400,000/=