'''''''Hatimae Mtangazaji wa Muda mrefu aliekua anatangaza habari ITV Janet Sosthenes Mwenda, jana ametangaza rasmi kwamba amerudi kwenye TV na show inayoitwa “ONGEA NA JANET”
'''''''Shoo hiyo itakua ikirushwa na CLOUDS TV
Wakati wa mahojiano
mahojiano yakiwa yanaendelea
akiongelea kuhusu kipindi chake
NI ENEO RASMI LILILOANDALIWA KWAAJILI YA UZINDUZI HUO....NI CHICHI HOTEL
Hapa Janeth akielezea madhumuni ya kipindi hicho na changamoto mbalimbali anazokumbana nazo katika maandalizi ya kipindi
Isack gamba wa ITV/RADIO ONE akibadilishana mawazo na MR.DONALD TALAWA
Marafiki wa karibu wa janeth walikuwepo kumuunga mkono mwenzao kwa hatua nzuri aliyoifikia
No comments:
Post a Comment