Wednesday, December 12, 2012

THANKSGIVING

                                                             
                           !!!!!  THANKSGIVING   !!!!!!!!!!!

Napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru wote kwa kunipokea vizuri kwenye blog yangu. 

 

Bila nyie wadau wangu nisingefika hapa nilipo. Na naomba mnisamehe kama kuna mahali nimewakera ama kuwa boa, na huwa ninakubali kosa pale ambapo nimekosea.

Zaidi ninakaribisha maoni zaidi ni vipi tunaweza kuboresha blogu yetu kwa yeyote mwenye wazo,maoni,ushauri n.k niandikie kupitia bkanemba@yahoo.com

 

Ninashukuru kwa hilo kwani kukubali kosa ndio mwanzo wa kujifunza zaidi, Nawatakia wote Merry X-mass and A Happy New Year. From, Miss. Beatrice Kanemba.

 I love u all

MD TOILET HANG

















DO MORE OF WHAT MAKES U HAPPY

always
DO MORE OF WHAT MAKES u HAPPY''''
            
Katika maisha yangu nilipenda kuwa mimi,nilihisi nina kitu ndani yangu kinachoitaji kuwa mimi,nimekuwa nikivutiwa na watu ambao they always trying to be themselves iwe kidini,kiuchumi,kijamii na mafanikio ya watu binafsi, isiwe kufanya kitu kwa kujikweza ili aonekane tu ilimradi huku akiumia kwa njia moja au nyingine,so ni bora uwe wewe as long as unafurahia maisha yako kwa sehem uliyopo hamna haja ya kutafuta makuu ambayo hatuyawezi, i mean fanya katika kuboresha maisha yako kwa sehemu unayoweza bila kukata tamaa na kutia juhudi ili uzidi kupata mafanikio kwani kama utafanya kwaajili ya kuwafurahisha wengine i tell utakesha,sababu tupo duniani kwaajili ya maisha yetu na kumtukuza mungu wetu aliyee juu zaidi ni kuhakikisha heshima inakuwepo kwakila akuzungukae awe mkubwa au mdogo.

Nilipokutana na hii kitu nilifurahunianikwaajili ya maisha yetu na kumtukuza mungu wetu aliye juui nikaona niipost tu 
coz its no.1 to me kwakweli'''''''''''
NAHISI IWE NI KAULIMBIU YA BLOGU YETU,
 

IMENISHANGAZA KIDOGO

ANA miaka 86 but anaweza fanya  mazoezi ya ajabu ambayo hata mtu mzima asingeweza kufanya''

Yaani i was lyk uuuuuuuh''''nilipoiona hii kitu.......

   MH let me hear from u umeionaje mwenzangu...........



Going very high'''''''very comfident, nahic ungeambiwa ww ungekimbia



ON progress mwenyewe...........UNBELIEVABLE

DELICIOUS''' DELICIOUS

WAJAMENI''''''''''

ni mambo ya nyumbani lounge

so delicious.........nahisi hapa tuko wengi...ha haaaaaaa






ILIANZA KIHIVI........ mweeeeh i real lyk fish mwenzenu



HAPA JE'''''''''



WALI wa rangi mh''''''''




with juyce pembeni yako