BURUDIKA BLOG!!!!!!!
LIFE CHALLENGES. EVENTS .FASHION .LIFESTYLE . .ENTERTAINMENT
Monday, December 31, 2012
foods stands
Jamani nani kasema vyakula havifanyiwi design?????
Chakula kina umuhimu wake kwenye miili yetu, sasa basi sio kupika tu vizuri, bali hata kukiandaa vizuri kwa kula, eidha mezani, etc. Tuna jua kuna hotpots, lakini inabidi ubunifu pia, nimezifuma hizi stand za chakula,
kwakweli ukiziweka mezani hata kama huna appetite itakuja wandugu. Hii bei yake ni Tshs. 35,000/= ya kwanza na ya pili(hizi stand ni bila sahani, na sahani zapatikana dukani kwangu na kama unazo zako inafaa pia leta sample tutakutengenezea)
Hii ni 45,000/= na ya juu hapo ni 60000=
Newer Posts
Older Posts
Home
Subscribe to:
Posts (Atom)