Mbunifu
wa Mavazi Khadija Mwanamboka mwandaaji wa Party ya Bongo Black
Ball iliyoenda sambamba na uzinduzi wa kampuni ya Vitu vya Khadija
Events & Clothing inayomilikiwa na mbunifu huyo.
Nyeusi zilitawala ndani ya ukumbi wa Mlimani City.
Ankal Issa Michuzi na Mai waifu wake akishow love na wadau.
Wabunifu wa Mavazi nchini.
Rio Paul na Redd’s Miss Tanzania 2012 Brigitte Alfred