Site.....Kunduchi....tuliweka pazia...
Pazia zina design nyingi tu za kufunga, moja wapo nii hii,.... sasa tutaendelea kuwaletea design za kufunga pazia mara kwa mara,,, na
inapendeza......
Yeye huyu hakutaka pazia nyepesi....
Thanks mteja wetu...... kazi ilikwenda salama......tunakutakia kila la kheri.......
Kazi, site ya Mwananyamala.........
Baada ya kuweka pazia, design ilikua ni ya eyelet......tuliweka chuma
za pazia na tukaweka na pazia.....kwa mtazamo wa haraka haraka, mteja
wangu huyu alitaka neutral color sitting room.....
Hapo juu ni mimi na fundi tukiweka vizuri pazia......
Sitting room kabla.....
Sylivia akiweka pazia.......hapa ni kazi tu
Chumbani.....tuliweka pazia na chuma za pazia....
Chuma za pazia....
Hapa ni baada ya pazia kua tayari..... Huwa tunafurahi na kushukuru wateja wetu wakipenda
kazi zetu
Mapazia - Mbezi
Hizi
ni picha ya mapazia tuliyoshona site ya mbezi kwa mteja. Tunamshukuru
mteja huyu, kwani alikubali tupige picha na tuweze ku share picha
hizi.
Nyumba bado ni mpya, sasa yeye anatengeneza nyumba yake
kwa awamu, si mnajua kila kitu kinawezekana? Haijalishi una hela ama
hauna.
Amejenga nyumba yake, umekwisha aakaahamia, akaanza kutengeneza pazia, halafu ndio fanicha. etc
Hapa
tuko kazini, busy,, kwa kweli Homez deco haijalishi bosi ama
mfanyakazi, wote tunaingia mzigoni ili ku meet deadline, na kazi iweze
kuwa nzuri, (umoja ni nguvu, utengano ni dhaifu).
(fuatilia picha zaidi, wakati tunakwenda kumfungia nyumbani kwake)Stay tuned
Kazi ya jumapili.
Ilikua kumfungia mteja mapazia tuliyomtengenezea,,,ASANTE MAMA CATHERINE WA MBEZI. Wewe wangoja nini?
Furniture za chuma zinavyopendezesha nyumba.......
Chuma hupendezesha sana nyumba, na kuvutia sana... ni jinsi tu ya
kuzipangilia, na ni rahisi kuzi maintain, kwani kwa usafi, unaona mpaka
uvunguni, hauhitaji mpaka siku ya weekend ndio ufanye usafi, ama
kugombana na msaidizi, kua kuna mahali haujagusa kufanya usafi.....
Nawatakia siku njema...........
No comments:
Post a Comment