Thursday, December 20, 2012

MCH.KANEMBA KATIKA HUDUMA S.AFRICA


Mchungaji kanemba ambaye yuko masomoni south Africa Juzi amefanya ibada ya ubatizokatika tawi la TAG Magomeni lililoko katika nchi hiyo. kanisa hilolililo anzishwa miaka kadhaa iliyopita sasa na  linalosimamiwa na aliyekuwa mch msaidizi wa Magomeni mch Shedrack Ngamanga. 

katika miezi ya hivi karibuni Mch kanemba alijulisha kuwa mwakani kuna timu ya wainjilisti ambayo itasafiri kutoka Tanzania na kwenda kufanya mkutano wa injili na uinjilisti katika maeneo kuzunguka kanisa hilo katika kutia nguvu kanisa hilo. kwa sasa kanisa hilo ambalo linaendelea vizuri na lina washirika kutoka katika nchi mbalimbaliza Afrika ikiwapo Tanzania.

glory to our dear LORD

Mch Kanemba akiwa na moja ya washirka walio batizwa kwenye ibada ya ubatizo juzi jumapili huko Afika kusini


Mch kanemba akiwa na mch anayechunga tawi la magomeni Afrika kusini Mch Shedrack


Mch kanemba akihubiri kwenye ibada NA chini mc.dunstan Kanemba akiwa na baadhi ya waumini na wachungaji wa kanisa hilo


No comments: