Friday, February 22, 2013
Tuesday, February 12, 2013
OMOTOLA JALADE NA SERIES YAKE YA REAL ME
Ni katika series ya kujua zaidi uhalisia wa yeye kama omotola ambapo aliamua kujiweka karibu na fans wake ili kuwapa historia kamili ya maisha yake katika mfumo wa tv shows na vp anahitaji kuwa muimbaji mzuri baadae
She is beautiful with a lot of talents......anajitumajeee sasa
Monday, February 11, 2013
Ni me an u ya ommy dimpoz na vanessa mdee
ilikua ni usiku wa kuamkia leo Ommy Dimpoz alikuwa akiizindua rasmi video yake mpya kwa mashabiki wake.Huku wakisindikizwa na wasanii wengine wengi hapa ni baadhi ya picha za maisha club katika uzinduzi huo wa video mpya Me n You ambayo video yake ilifanyika nairobi
Saturday, February 9, 2013
IT'S 14th february
Redds
inaendesha promotion ya kipindi cha sikukuu ya wapendanao ambapo kilele
chake ni tarehe 14/02/2013,pichani ni baadhi ya wateja walioenda katika eneo lao wakipatiwa zawadi zao ambapo wameamua kufanya promosheni hizo katika supermarkets mbalimbali
na michelle obama ndani ya red dress kapendeza |
WENGI WAPEEEEEEEEEE'
NI KUTOKANA NA MAOMBI YA FANS WANGU JUU YA JINSI GANI TUBORESHE BLOGU YETU
ngoja nikupe uhondo kidogoooooo najua una ham ya kujua'''
.....NI HIVI,
NIMEPATA MAOMBI MENGI TOKA KWA FANS WA BLOGU YANGU KUWA IKIWEZEKANA ITAKUA POA ZAIDI TUKIWA TUNAPOST MAMBO GANI YANAYOKUA YANATOKEA KILA SIKU KTK SEKTA TOFAU2 NA HATUTOCHAGUA ATLEAST TUTAKUA TUNAUPDATE MARA NYINGI TOFAUTI NA ILIVYOKUA SO BIG UP MY PEOPLE nimesikia faraja kuona tunaweza kupeana mawazo tukafikia muafaka MUNGU AWABARIKI SANA nawapenda sitoacha kukubali so nimesikia mawazo yenu na nimefanyia kazi SO,,,,,SO GUYS tutakua tunahabarishana kila siku mtu asije kushangaa kimetokea nini na kuhusu mambo ya home decoration ni mulemule hatutaacha kuupdate,nilichojifunza hapa kwakweli
wengi wape no matter what wengi ni wengi tu
ha haaaaaaa
stay blessed!!
MMMHH'' nilipofika hapa nilistop for a moment
Hata kama ni tatoo this is ............ha haaaaaa malizia mwenyewe
i'm loving my girl ANITHA
I cant wait saying this,,,,
She is beautifull with full of fashion in her blood uuuuuuuuuuuuuh''
A little bit more.......
Guys,,,,,nampendajeee sasa
she is rocking'''
kapendezajeeeeeeeeeee'
ni yeye binafsi.....kwake no comment katika swala la urembo na fashion
go girl,,,,,,,,,,goooooo
ni yeye binafsi.....kwake no comment katika swala la urembo na fashion
go girl,,,,,,,,,,goooooo
Subscribe to:
Posts (Atom)