Nilipoiona hii kwa mara ya kwanza i was like uuuuuuuuh''' hawa watoto jamani ni talented na sisi kibongobongo tunaweza kujua pia ni nn mtoto wako yuko ''so in'' nacho na kupalilia eneo hili la kipaji.......
Nitaendelea kukuletea vijimambo vyao tupate kujifunza na kuinjoy ha haaaaaa.......
2 comments:
Daaaaaah hawa watoto ni noma na I wish vingekuwa vinne na vingine vyakiume viwili, kibongo bongo mtaji tosha
yani ni kama vimtu vizima ha haaaaaa''''
Post a Comment