LIFE CHALLENGES. EVENTS .FASHION .LIFESTYLE . .ENTERTAINMENT
Sunday, March 17, 2013
NI KWA NEEMA TU''
Mpendwa umewahi kujiuliza ni kwa jinsi gani MUNGU wetu ni wa upendo juu ya maisha yako?Je ni wangapi wana matatizo makubwa zaidi yako au labda ni vipi imetokea kuona wewe ni bora zaidi ya wengine na kujiona yote unayofanya ni kwaajili ya utashi wako binafsi?? Nilikua nikisikiliza wimbo huu asubuhi ya leo na kutafakari ukuu wake...HAKIKA WOTE TUNAISHI KWA NEEMA TU si kwamba sisi ni bora kuliko wengine,sifa na shukrani ni kwako Mungu wetu......
Ni jumatatu nzuri nawatakia jumatatu njema na Mungu awaongoze'''
No comments:
Post a Comment