Monday, April 29, 2013



Muone Mtangazaji wa TBC leah mushi akiwa nchini BEIGIN-CHINA wakiadhimisha siku ya Muungano wa Tanzania,angalia ilivyofana na story kamili ilikua hivi!!!!!!

hapa chini leah akiwa na mtangazaji mwenzake fatma matulanga wote wakiwakilisha tbc beijing.........



hapa LEAH MUSHI akiwa na mgeni rasmi Naibu Waziri wa Mambo ya nje wa China ZHAI JUN pamoja na mshereheshaji MATILDA... wakiimba wimbo wa Taifa .

Photo: Ready to go for a big day- Wai Mon Kyaw, Sladjana Vasiljevic, Haney Hanu, Ranga Mashamba, Dulla Jane, Suzane Rogathe,Rachel Kamtawal
leah,herself and the only one!!!! sisi wote penda wewe




Wapiganaji wa TBC, FATMA MATULANGA na LEAH MUSHI walikuwepo wakiiripotia TBC kutoka nchini China.
Photo: Family from Bahamas, Tanzania, Fiji and Serbia

akiwa na rafiki zake siku ya sherehe hiyo ya muungano




Balozi Marmo akitoa speech kwa wageni waalikwa 



 Lea akionekana kwa mbaaali na pinc yake........hapa Wageni waalikwa kutoka sehemu mbalimbali walijumuika na watanzania katika sherehe hiyo
Kutoka kulia , MUROBI, MATILDA, DEBORAH, SWAHAL SAID na Mdau

Balozi MARMO na mkewe walijumuika na wageni waalikwa kucheza na kikundi cha Utamaduni cha SISI TAMBALA

Mduara ni sehemu ya utamaduni wakitanzania nao haukukosekana.



Keki ya muungano ilihusika ikiwa tayari kwa kuliwa,asante lea kwa keki ya kitanzania,sisi penda wewe sana coz unadumisha utamaduni wako



 Balozi wa Tanzania nchini China PHILIP MARMO na mgeni rasmi wa china wote wawili wakikata keki hiyo




 Balozi wa Tanzania nchini China PHILIP MARMO akiwa na mgeni rasmi Naibu Waziri wa Mambo ya nje wa China ZHAI JUN pamoja na mshereheshaji MATILDA... wakiimba wimbo wa Taifa .




 Mkuara ni sehemu ya utamaduni wakitanzania nao haukukosekana.hapa Balozi MARMO na mkewe walijumuika na wageni waalikwa kucheza na kikundi cha Utamaduni cha SISI TAMBALA

KAA TAYARI KUONA PICHA ZAIDI'''












1 comment:

Unknown said...

It was great day, Long live our Union Long live Tanzania... hope one day we will be developed and happy unlike now happy undeveloped.