Friday, May 3, 2013
BURUDIKA BLOG!!!!!!!: Muone Anitha alivyopendeza kwenye harusi yake,Tuna...
BURUDIKA BLOG!!!!!!!: Muone Anitha alivyopendeza kwenye harusi yake,Tuna...: Muone Anitha alivyopendeza kwenye harusi yake,Tunakupenda anitha wetu na tunakutakia kila la heri katika safari yako!!!!! Wadau hapa ni...
Muone Anitha alivyopendeza kwenye harusi yake,Tunakupenda anitha wetu
na tunakutakia kila la heri katika safari yako!!!!!
Wadau hapa nimeluletea picha zake za harusi na chini ni picha za kitchen Party na nguo yake ya k'party ilishonwa na Mange Kimambi all the way from BONGOLICIOUS'''
Ilianza hivi.........
Gauni ilitoka kwa www.bridalmegamall.com US
Alipenda kuwa natural zaidi.......bila kuwa na make ups nyingiiiiiiii
ndoa ilifungwa St.Immaculate Church Upanga...
Baba akienda kumkabidhi anitha. |
Happy people...
ha pa ni kina kaka na mashemeji zake.............
kuanzia kushoto hapa niLucy, my wifi Judy, Irene, Beatrice, Happy, Vivette and Eva.
UKUMBI ulikua ni JK Marquee at the Mwalimu Nyerere Grounds...
Kina mama wakiingia ukumbini
divas!!!
hapa ni Lucy, Asha, Jackie, Imelda, Bahati, Allie, Janeth, Salama and Irene...
Jump to:
wakiingia ukumbini na atron wake matron Bahati |
S
ni Catherine, na Matron Bahati |
wakisali |
wanakamati |
akiwa na amazing mama... |
mkia huo umeuona |
Fortu,Janet, Kanaeli, Eve,Mary na Happi |
Renee, Leah, Thecla, Mary, Beatrice, my ex boss Nunu, Janet and Olivia |
my aunt Fina, cousin Editha, Bahati, Mama, my young bibi Midi and grandma |
zawadi time... |
W |
LOL...tired!! |
Ze End!
Subscribe to:
Posts (Atom)