Friday, November 30, 2012


MH''' I REAL LIKE THIS LADY JAMANI


Siwezi sema uongo ninapenda nyimbo za huyu dada kila ninapopata nafasi ya kuzisikiliza huwa nabarikiwa sana.....


BARIKIWA PAMOJA NAMI.......




Anakwenda kwa jina la CHRISTINA SHUSHO

ZAIDI jamani ni ule wimbo wa 

'''mimi nataka ushirika na wewe ewe rohoooooooooo,mimi nataka ushirika na weeeeeh'rohoooh

 


Thursday, November 29, 2012

NI FARAJA!

Ni faraja iliyoje kujua kuwa hata kama hakuna wa kukusaidia EBENEZA yupo!.....

Hata kama mtu atakuwa mbali na wewe EMANUEL yupo karibu!.....

Hata kama hakuna wa kuitika na kukujali ELISHADAI yupo!......

Hata kama hakuna wa kuponya JEHOVA YUPO!......

Hata kama hakuna mtetezi YESU YUPO!............

Hasinzii' Hachoki' Tena hukulinda usiku na mchana,tumwamini yeye anajua kesho yetu hakuna kukata tamaa...

                                       BARIKIWA RAFIKI