Tuesday, December 18, 2012

MAAJABU

MAPACHA WENYE MIEZI KUMI WANAOJUA KUOGELEA KAMA SAMAKI
Ni william na ellenita
Hakika MUNGU ni wa ajabu wakati wote loh''



Hapa je




Proud protege parents: Victor and Charlotte Trykush say they did not think there was anything unusual about their children's swimming skills until they started drawing a crowd

Splashing around: William, right, and his sister Ellenita practice their swimming skills in the pool

TUNAJIFUNZA NINI?

   Ukuu wa Mungu ni wa juu zaidi kuliko vyote na pale akili ya kibinaadam inapoishia ndipo ukuu wake unapoanzia na hauna kipimo nyakati zote

  Ni vipi tunaweza jiuliza maswali mengi kuhusu ukuu       wake............katika akili za kibinadam tutaishia kujiuliza bila jibu ila INAWEZEKANA kwa MUNGU wetu kwani hakuna linaloshindikana kwake

















































No comments: