Christina shusho akiinua jina la bwana katika sifa
Upendo kilahiro nae alikuwepo kuinua jina la bwana hapa akiwa amezama katika utumishi wake na timu nzima ikijitahidi kumkandamiza shetani
Hapa ni upendo nkone na upendo kilahiro, JINA LA BWANA LIHIMIDIWE
Watumishi wa bwana wakiimba katika tamasha hilo
No comments:
Post a Comment