Friday, December 7, 2012

NI MAPITO TU''''''''



HAYO UNAYOYAPITIA NI MAPITO TU ''''''''''''''''

Jamani nimepata neema ya kusikiliza wimbo mmoja wa mapito

Unasema kuwa hayo unayoyaona leo ipo siku hautayaona tena .....sababu mungu ni yeye yule jana leo na hata milele ahadi zake ni za kweli na hatokupungukia kwa jinsi yoyote ile SONGA MBELE''''''''


No comments: