USIJIKWEZE
je huwa inafikia mahali unajikweza/?
Kuona wewe ni wa thamani kuliko wengine?
Hivi kuna haja ya kujikweza kweli?
Nahisi kama una kitu cha kufanya zaidi ya wengine inachotakiwa ni kumshukuru Mungu kwa nafasi uliyopo na zaidi jaribu kuwatia moyo wanaohitaji msaada wako ili waelewe na kufanikisha sio kuwalaumu na kuwavunja moyo...........
guys''''
MSHUKURU MUNGU KWA KILA JAMBO WALA USIMDHARAU YEYOTE KWAKUWA WW UNA KITU CHA ZIADA KULIKO YEYE
No comments:
Post a Comment