Hii ni kutokana na maombi ya mteja wetu aliyeomba kuona baadhi ya metal designs ambazo unaweza kupata kwetu...Hizi ni baadhi tu na tutakupatia nyingi zaidi uwe na wide range of choice coz ni nyingi kwakweli na tunapokea oda hata kama ukiwa mkoani.......hapa ni picha za baadhi ya wateja ambao tumewatengenezea vitu vyao vya metal............ilikua hivi
Furniture zikiwa tayari kwenda kwa mteja.....sylivia alikuwepo mzigoni kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa
Poziiii.............ha haaaaaaaaa.......very happy baada ya kujua mteja wetu amefurahia kazi yetu
.Kwa kweli hua ni raha sana
pale ambapo tumefanya kazi na imetoka safi na nzuri....tumeweka rangi
hizi tunaziita neutral colors, mteja wetu anapenda rangi hizi......
Hapa ni wakati kabla hazijaondoka kwenda nyumbani kwa mteja....ziko
ofisini kwa nje.......seti ya hii sofa ni ya watu watatu 2 na yawatu
wawili 1.......
Naomba ijulikane kua hiki ndicho kipindi cha kujiandaa kutengeneza
kwako, ama kujiandaaa kumalizia nyumba yako na kuhamia, ama kupamba
nyumba yako......Karibu sana Homez Deco tutakusaidia kwa hili......
Tshs, 350,000/ bila stools
coffe tables bila stools ukihitaji stools ni 150,000/= kwa kila stool moja
Bei Tsh. 220,000/=
wapendwa naombeni radhi kwa kukosea bei ya hii meza bei halali ni Tshs.300,000/= pls mniwie radhi.
Bei Tshs. 300,000/=
Bei Tsh. 350,000/=
Dressing tables Tshs. 300,000/= hata dollar pound Euro zapokelew,wewe mteja kwetu ni mfalme
Dressing tables Tshs. 280,000/=
Dressing table.......
Dressing table za chuma,,,,ama fanicha za chuma ni imara sana sana...., nikizungumzia kwa upande wa dressing table, design ziko nyingi..... ni wewe tu unahitaji ipi, hizi ni baadhi tuu, na tunachokifanya ni tuna buni design mpya sisi wenyewe......... hii ikiwa ni moja wapo...
dresing table ikiwa na ngazi mbili kama inavyoonekana hapo ni tshs.280,000/- na ikiwa na ngazi moja ni tshs. 250,000/- na hii ni pamoja na kiti chake na mto wake..
karibuni sana....
Dressing Table for Barchelors Room.
Designs metal furnitures
hivi ni kwa wale wenye chumba kimoja ni kitanda na the same time ni kochi
metal dinning tables
dinning tables - COPY - EDIT - PASTE
Hakishindikani kitu
Homez deco.
meza ( zinapatikana kwa order)
No comments:
Post a Comment