More Pillows & Pillow cases available at Homez Deco.....(all these products designed and made by homez deco)
Decorative Pillow case......Disney cartoons characters...are available @ Homez Deco...Kiukweli nimeona watoto wengi wa wateja wetu wamekuwa wakifurahia hii zawadi tuliyowatengenezea .....we love kids kwakweli na wengi wamenunua hizi na kuenjoy.They are looking like this,,,,
Kuna design nyingi hizi ni baadhi karibuni sana .....lets give our kids something different........
hizi ni baadhi ya disney cartoon character pillow case, zinapatikana hapa kwetu homez deco, pillow case bila mto ni Tshs. 10,000/- ikiwa na pillow ni Tshs. 15,000/- ni cotton materials..... hizi zina matumizi mbali mbali waweza kuweka kitandani, ama kwenye chumba cha watoto etc. Hazipatikani kokote, nilijaribu kuzunguka kwenye maduka mbali mbali hakuna ......
More Pillows & Pillow cases....available @ Homez Deco...
Mito na foronya ni nyingi kukidhi mahitaji yenu na design zake ziko nyingi....karibuni nyote...
Pillows & Pillow cases available at Homez Deco.....(all these products designed and made by homez deco)
Animal print foronya pia zinapatikana....hii ndio size ya mito ya sofa ya mapambo
Mito ndio hiii, kila size utapata......ya kulalia, ya makochi, etc......
tuna mito na foronya za kila aina......hizo ni baadhi tuuu....
Bei ya mito kwa size hii ni bila foronya zake:
1. 55 by 38 = tshs. 18,000/-mito ya kwenye sofa/makochi, kitandani
2. 45 by 45 = tshs. 15,000/-mito ya kwenye sofa/makochi, kitandani
3. 40 by 40 = tshs. 15,000/-mito ya kwenye sofa/makochi, kitandani
4. 45 by 30 = tshs. 12,000/- mito ya kwenye sofa/makochi, kitandani
5. 88 by 88 = tshs. 45,000/- mito ya chini sakafuni
Bei ya foronya za mito kwa size
55 by 38 = tshs. 13,000/-
2. 45 by 45 = tshs. 12,000/-
3. 40 by 40 = tshs. 12,000/-
4. 45 by 30 = tshs. 10,000/-
5. 88 by 88 = tshs. 15,000/-
.....Homez Deco tunayo furaha
kukuarifu kua, tutafanya delivery....na utalipia 10,000/- kokote
uliko......utapata mzigo wako ukiwa salama......kwa upande wa malipo
tunapokea tigo pesa, m-pesa kwa namba ifuatayo 0714 950054 karibuni sana.
many characters pillow case to come.....
No comments:
Post a Comment