MALI MPYA....IMETENGENEZWA NA HOMEZ DECO.....
Hizi ni glove na pot holder.....ni za jikoni, ukiwa unataka kuepulia sufuria, ama chochote jikoni basi unavaa hii glove moja ama mbili, na utakapoweka mezani, unaweka kwanza hiyo pot holder ili meza isiharibike....
Products hizi ni kwa seti moja ni tshs. 7,000/- ikiwa ni glove moja na pot holder moja.
Kwa mbele zinavyoonekana
Kwa wale wa mikoani, ukihitaji tutawatumia, ingawa utahitajika kutuma na hela ya usafiri pia,,,wasiliana nasi kwa maelezo zaidi......0714-950054
No comments:
Post a Comment