Thursday, May 22, 2014

HARD WOOD ...LOVE CHAIR

HARD WOOD. ...LOVE CHAIR.....

 Kiti hiki cha watu wa 2 kimetengenezwa kwa kutumia mbao ya mninga.....

 Kinaweza kuwekwa kwenye balcony yako...ama sitting room...ama kwenye gazebo....vile vinyumba vidogo vya vya kupumzika....vya nje....
 orange imetumika kuongeza kionjo cha kochi hilo....maana rangi za mito mikubwa zimepooza...ila tulipoweka orange hapo kidogo..kochi limeonekana.....

Always huwa tunapenda kumridhisha wateja wetu hivyo hapa kochi lilikua tayari kwenda kwa Mteja wetu.
Kwa mawasiliano piga 0714-950054

No comments: