Sunday, January 13, 2013





DELIVERY OF WALL PAINTINGS (DULUX PAINTS) FROM SADOLIN


 Gari la Sadolin Paints kama linavyoonekana likiwa limewasili ofisini kwetu, Homez Deco Kinondoni....




sylivia akikabidhiwa rangi, na akikagua rangi ambazo tulitoa order kutoka kwao......Hizi ni rangi za dulux, zimeshaanza kununuliwa na wateja wamezikubali, kwa kubana matumizi ya rangi nyingi, na hudumu zaidi ya kuanzia miaka 8-10 baada ya kupaka, na bila kupauka.....

Kwa wale wenye kuta ambazo zinasumbuliwa na ukungu, ama fangasi ya ukuta, sehemu zenye maji maji....ipo product ya kumaliza tatizo hilo......

Karibuni sana.....


Dulux Paints........




Hizi ndio rangi za Dulux, ukiangalia kwanza kabisa ndoo zilizotumika kuhifadhia rangi hizi, ni nzuri na zinavutia.....na kwa upande wa matumizi, rangi hizi hubana matumizi sana kwa utumiaji wake, yaani sehemu ya kutumia ndoo 3 wewe utatumia ndoo 2......kwa mfano hicho kindoo kidogo ni lit. 5 kinatosha kabisa kupaka chumba kimoja...... sasa fikiria ndoo ya lit. 20.....

Rangi hizi mzionazo hapo juu, zinatosha kwenye nyumba ya vyumba 3 vya kulala, jiko, dinning, sebule, na nje ukuta wa nyumba nzima......

Kwa upande wa bei, ni mpaka nijue ni rangi gani utahitaji kwani kadri inavyozidi kubadilika ama zile rangi tofauti tofauti kama pink, green, blue etc...bei ni tofauti....

Tayari tumeshaanza kupokea orders za rangi za Dulux na wadau/wateja wetu wanazifurahia na kuzipenda kwani mkombozi wa kubana matumizi amewasili Tanzania......na rangi hizi hudumu ukutani kwa muda wa miaka 8-10.......bila kupauka ama kubadilika rangi yake......

Karibuni mtoe order.....wasiliana nasi kwa simu namba 0714-950054 ama email: bkanemba@yahoo.com








No comments: